Serikali yahimizwa kuwapa vijana nafasi za kazi

  • | KBC Video
    12 views

    Vuguvugu la Bunge la Mwananchi limewasilisha ombi bungeni kupinga uteuzi wa David Kimeu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa halmashauri ya Ushindani humu nchini. Kwenye ombi hilo, kundi hilo linasema Kimeu tayari ametimiza miaka 60 na hivyo anapaswa kustaafu kutoka sekta ya utumishi wa umma.Akiongea na wanahabari baada ya kuwasilisha ombi hilo, rais wa vuguvugu la Bunge la Mwananchi, Frank Owino alisema serikali ina wajibu wa kuwapa kipaumbele vijana wakati wanapotoa fursa za ajira badala ya kuwarejesha maafisa ambao muda wao wa kuhudumu umekamilika, hatua ambayo inakinzana na sera ya serikali kuhusu uajiri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive