Serikali yahimizwa kuwianisha shughuli za bodi mbalimbali za elimu ya vyuo

  • | KBC Video
    8 views

    Vyuo vya kibinafsi vya kiwango cha kadri vinataka majukumu ya bodi zinazosimamia vyuo hivyo kuangaliwa upya ili kupunguza gharama ya kuendesha shughuli kwenye vyuo hivyo. Mwalimu mkuu wa chuo cha mafunzo ya utabibu cha Commonwealth mjini Kisumu, Olivia Akoth amesema zipo bodi nyingi za kudhibiti vyuo vya mafunzo ya utabibu, jambo ambalo linapaswa kuangaziwa upya ili kudhibiti gharama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive