Serikali yahitaji fedha kukamilisha uchunguzi wa maafa ya Shakahola

  • | KBC Video
    74 views

    Serikali itatenga fedha za kukamilisha uchunguzi wa msimbojeni na mazishi ya miili iliyopatikana kwenye msitu wa Shakahola katika kaunti ya Kilifi. Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, ambaye ameitetea serikali dhidi ya madai ya kujikokota katika utoaji wa ripoti ya uchunguzi wa maafa hayo, alisema fedha hizo zitafanikisha kukamilishwa kwa hatua za mwisho za uchunguzi huo ambao umekuwa ukiendelea tangu mwezi Machi mwaka wa 2023.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive