Serikali yaimarisha juhudi maradufu za kukabiliana na uhalifu

  • | KBC Video
    17 views

    Kituo cha kitaifa cha utafiti wa uhalifu kimeanzisha uchunguzi kuhusu ongezeko la visa vya mauaji ya watu wa wanawake humu nchini. Afisa mkuu mtendaji wa kituo hicho Dkt. Mutuma Ruteere amesema kuna haja ya kuelewa visababishi na muundo wa uhalifu, hasusan mauaji yanayolenga wanawake, ili kushauri wadau wa mfumo wa haki kuhusu mbinu za kushughulikia tatizo hilo. Kituo hicho kitachunguza kwa makini hali hii ya kuogofya kabla ya kutoa ripoti kamilifu hivi karibuni. Ben Chumba na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive