Serikali yaimarisha uchunguzi kwenye viwanja vya ndege kukabiliana na ulanguzi wa binadamu

  • | KBC Video
    12 views

    Serikali imeweka vituo maalum vya kushughulikia masuala ya leba katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta na ule wa Moi mjini Mombasa kwa lengo la kukabiliana na tatizo la ulanguzi wa binadamu kwa kisingizio cha kuwapeleka wakenya katika mataifa ya ng’ambo kufanya kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive