Serikali yakubali kuhusika kwa Adani katika zabuni za sekta tofauti

  • | K24 Video
    63 views

    Serikali haikanushi kuhusika kwa kampuni ya Adani katika sekta muhimu za taifa la kenya. kulingana na msemaji wa serikali Isaac Mwaura, badala ya wakenya kukosoa miradi wanaruhusiwa, wawekezaji wajitokeze na kutoa mapendekezo ya miradi wanayoweza kuhusika nayo kwa ushirikiano na serikali. Mwaura pia ametetea mfumo mpya wa bima ya afya ya jamii, SHIF, ambao unatarajiwa kuzinduliwa jummanne wiki ijayo.