Serikali yapongezwa kwa agizo la kuainisha kidigitali utengenezaji wa hati miliki za ardhi

  • | KBC Video
    4 views

    washikadau wa sekta ya ujenzi wameipongeza serikali kwa agizo la kuainisha kidigitali utengenezaji wa hati miliki za ardhi ili kubaini stakabadhi ghushi na kuondoa matapeli wanaowaibia wawekezaji. Akizungumza wakati wa kutoa hati za kumiliki ardhi katika eneo la Thika , Afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya ujenzi ya Hodari Homes Musa Gaturima, aliwataka vijana kuwekeza katika sekta hiyo inayokua kwa haraka ili kujitengenezea makao ya siku za usoni. Aidha aliwataka wawekezaji walio ng’ambo kutumia stakabadhi zinazostahili ili kuepuka mahangaiko baadaye.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive