SERIKALI YARUDIA MAHAKAMA KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAGEUZI YA POLISI

  • | K24 Video
    72 views

    Katibu wa Usalama wa Ndani Raymond Omollo, amesema kuwa serikali tayari imeanza kutekeleza baadhi ya mapendekezo hayo licha ya uamuzi wa mahakama kuwa jopo kazi lililoongozwa na Jaji Mstaafu David Maraga liliundwa kinyume na sheria. Serikali inalenga kuboresha maslahi ya maafisa wa polisi ili kuongeza ufanisi wao kazini.