Serikali yasema iko imara kukabili vitisho vyovyote

  • | KBC Video
    36 views

    Serikali imeweka mikakati ya kukabiliana na vitisho vya usalama ndani na nje ya nchi ikiwa ni pamoja na kukabiliana na ugaidi na magenge ya uhalifu. Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dr Raymond Omollo amesema huduma ya kitaifa ya polisi inajitahidi kuhakikisha mipaka ya Kenya iko salama. Kadhalika Omollo amesema serikali haitorudi nyuma katika vita dhidi ya mizozo ya kikabila, wizi wa mifugo na uvamizi katika maeneo mbalimbali ya nchi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive