Serikali yasema imetatua malalamishi ya maafisa tabibu

  • | Citizen TV
    324 views

    Wizara Ya Afya Inasisitiza Kuwa Imefanya Mazungumzo Na Maafisa Kliniki Na Masuala Ambayo Walikuw Awakiibua Na Kuwasababisha Kuanza Mgomo Jumatatu Yametatuliwa. Ikiwa Ni Siku Ya Tatu Ya Mgomo Huo, Matabibu Hao Wanafanya Kikao Na Wanahabari Hapa Jijini Nairobi Kuweka Mambo Wazi.