Serikali Yasisitiza Uchumi Uko Imara

  • | TV 47
    55 views

    Serikali kupitia msemaji wake Dkt. Isaac Mwaura imesisitiza kuwa uchumi wa taifa uko imara huku sekta za kilimo, afyta na elimu pia zikiwa shwari licha ya changamoto zilizokumba taifa mwaka huu wa 2024.

    Serikali ikisema kuwa inajizatiti kutekeleza mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo vikuu, haya yakijiri siku chache tu baada ya mahakama kusimamisha utekelezaji wake.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __