Serikali yasitisha matangazo yote ya kamari nchini kwa muda wa siku 30

  • | Citizen TV
    866 views

    Serikali imesitisha matangazo yote ya kamari nchini kwa muda wa siku 30. Marufuku hii ikinuiwa kulainisha matangazo haya ambayo bodi ya kudhibiti kamari inasema yanaendelea kukiuka maadili. Bodi hii sasa ikisema kuna wasiwasi mkubwa kuhusu namna matangazo mengi ya kamari yanavyoendesha, Kama Willy Lusige anavyotuarifu