Serikali yasitisha uwekezaji wa shilingi bilioni 9 kwa shirika la KBC

  • | KBC Video
    350 views

    Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi wa dijitali William Kabogo amesitisha kwa muda uwekezaji wa shilingi bilioni 9 kwa shirika la utangazaji nchini KBC kusubiri mageuzi. Akiwa mbele ya kamati ya habari, mawasiliano na teknolojia katika bunge la Seneti, waziri Kabogo alisema serikali itatanguliza kuwaondoa wafanyakazi ghushi na kuangazia suala la wafanyakazi wa ziada na matumizi mabaya ya rasilimali kabla ya kuwekeza pesa hizo kulifufua shirika hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive