Serikali yatangaza mipango ya kuendeleza ekari 50 kutoka msitu wa Suam Trans Nzoia

  • | NTV Video
    387 views

    Serikali imetangaza mipango ya kuandaa ardhi ya ekari 50 kutoka msitu wa suam huko Trans Nzoia ili kuendeleza mji wa mpakani na mradi wa ujenzi wa ofisi za serikali na wafanyikazi ambao watawekwa kwenye kituo hicho.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya