Serikali yatoa vitambulisho kwa wafungwa Kajiado

  • | Citizen TV
    52 views

    Bitok amesema kuwa serikali inalenga kuwasajili wafungwa katika magereza yote nchini huku agizo la kuondoa masharti ya vitambulisho likitekelezwa katika kaunti 22 ambazo hapo awali zilikuwa zikikabiliwa na changamoto za utoaji wa vitambulisho.