Serikali yazindua zoezi la kutoa vitambulisho kwa vijana Nakuru

  • | Citizen TV
    589 views

    Waziri Wa Usalama Wa Ndani Kipchumba Murkomen Anazindua Rasmi Zoezi La Usajili Wa Vitambulisho Katika Uwanja Wa Shabaab Jijini Nakuru . Wakaazi Wamejitokeza Kujisajilisha ,Hii Ni Baada Ya Rais William Ruto Kutoa Agizo Kuwa Usajili Wa Vitambulisho Utaendelea Bila Malipo.