Serikali za kaunti kushirikishwa katika sera ya kitaifa ya kigeni

  • | KBC Video
    110 views

    Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amesisitiza jukumu muhimu linalotekelezwa na serikali za kaunti katika kuendeleza mahusiano ya kiuchumi. Akihutubia mkutano wa mashauriano jijini Nairobi, Mudavadi aligusia jinsi serikali za kaunti, kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa, zinaweza kusaidia kubuni sera za kuimarisha uwekezaji, kukuza utalii pamoja na kubadilishana utamaduni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive