Sh. 9B za chuo cha Ronald Ngala zi wapi? Waziri wa Utalii Miano ajibu swali hilo

  • | NTV Video
    310 views

    Waziri wa Utalii Rebecca miano amezuru chuo cha mafunzo ya utalii ya ronald ngala huko kilifi. masuali chungu nzima aidha yanazidi kuchipuka ikiwemo kwa nini ujenzi huo umechukua muda tangu kuanza mwaka 2013 licha ya kutengewa zaidi ya shilingi bilioni 9. kevin mutai yuko kilifi atujuze kinachojiri

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya