Shabiki.Com yatoa msaada wa matangi 45 ya lita 10,000

  • | Citizen TV
    181 views

    Shabiki.com imetoa mchango wa matangi 45 ya lita 10,000 kwa shule na makanisa kote nchini kama sehemu ya mipango ya mradi wa uwajibikaji kwa jamii