Shabiki.com yatoa msaada wa matangi ya maji Kolowa, Baringo

  • | Citizen TV
    320 views

    Kwa miaka mingi, wakazi wa Tiaty kaunti ya Baringo wamekuwa wakihangahishwa na ukame, hali ambayo imewaathiri wanafunzi na jamii kwa jumla. Lakini sasa, wana kila sababu ya kutabasamu kwani Shabiki.com na jamii, imetoa msaada wa matanki 20 ya maji kwa shule za msingi na upili katika kaunti ya Baringo. Hafla inayoongozwa na Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei na Mkurugenzi wa shabiki.com Fred Afune inaendelea katika shule ya upili ya Kolowa.