Shahidi asimulia ukatili wa polisi aliyemuua Rex

  • | Citizen TV
    1,939 views

    Kesi ya mauaji ya Rex Masaai aliyekuwa miongoni mwa vijana waliokuwa wakiandamana kupinga mswada wa fedha mwaka jana ilianza rasmi hii leo mashahidi wakitoa ushahidi wao kuhusu alivyouwawa. Na kama anavyotuarifu odee francis inadaiwa kuwa waliohusika na mauaji ya Rex walimwacha katika eneo ambapo alikuwa ameanguka baada ya kupigwa risasi..