Shamba la mahindi la ekari 18 lavamiwa eneo la Transmara

  • | Citizen TV
    6,560 views

    Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Transmara kwenye mpaka wa kaunti za migori na Narok baada ya watu wasiojulikana kuvamia shamba moja la ekari 18 na kufyeka mahindi usiku wa kuamkia leo. Tukio hilo limesababisha maafisa wa kikosi cha gsu kutumwa eneo hilo la mpakani kushika doria.