Shambulizi la Israel lalenga kituo cha utafiti wa kisayansi
Shirika rasmi la habari la Syria la SANA, limeripoti kwamba makombora ya Israel yamepiga sehemu kadhaa katikati mwa Syria, na kuharibu barabara kuu katika mkoa wa Hama na kusababisha moto.
Mojawapo ya shambulizi limelenga kituo cha utafiti wa kisayansi mjini Maysaf, jingine limepiga sehemu ambako makundi ya wapiganaji yanayoungwa mkono na Iran na wataalam wao huwa wanafanyia shughuli zao za kutengeneza silaha.
Vyombo vya habari vya Syria vile vile vimeripoti mashambulizi katika mji wa Tartous. Jeshi la Israel halijatoa taarifa yoyote. - Reuters
#utafiti #sayansi #kituo #voa #voaswahili
21 Apr 2025
- Four Kenyans secured millions after their heroics at the oldest marathon in history.
21 Apr 2025
- President Ruto hopes to achieve several key economic milestones from his China trip.
21 Apr 2025
- The dollar sell-off on Monday has many experts worried.
22 Apr 2025
- Pope Francis died of a stroke, causing a coma and "irreversible" heart failure, according to his death certificate released by the Vatican on Monday.
22 Apr 2025
- Nairobi City Thunder (NCT) basketball team has received a major boost ahead of the upcoming Basketball Africa League (BAL) championship, after being assigned a Senegalese NBA G-League player to reinforce the squad. The team is also eyeing continental…
22 Apr 2025
- The papacy journey started with St. Peter, he who Christ christened as the rock of the Church.
22 Apr 2025
- Tragedy struck on Monday at Loberer area along the Marigat-Chemolingot route in Baringo County, where two people were shot dead and two others injured. The victims were ambushed by suspected bandits while travelling to Nginyang market in a police convoy…
22 Apr 2025
- Kenya Chipu aim to defend Barthes Trophy after perfect start
22 Apr 2025
- People's Pope signs off, leaving behind a church changed forever
22 Apr 2025
- From social justice to tackling abuse: 12 years of Pope Francis
22 Apr 2025
- Role of Commissioner for Cooperatives questioned in Kuscco Sh13b saga
22 Apr 2025
- Youths dare dream as Nyanza's Junior Golf tourney highlights growth
22 Apr 2025
- The inconvenient truth about devolution, the environment