'Shangazi yangu aliniambia nije kufanya kazi, lakini sikumkukuta kituoni'

  • | BBC Swahili
    2,193 views
    Kila siku watu watatu hadi watano hutelekezwa kwenye kituo kikuu cha mabasi cha magufuli kilichopo jijini Dar es saalam huku wengi wao wakiwa ni watoto yaani watu wenye umri chini ya miaka 18. Ofisi ya ustawi wa jamii kituoni hapo inasema wengi huja wakiamini Dar es salaam kuna maisha mazuri au kwa kufuata ahadi za kazi. Si raia wa Tanzania pekee wanatelekezwa kituoni hapo bali hata raia kutoka mataifa jirani. #bbcswahili #tanzania #stendmaghufuli Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw