Sherehe za Jamhuri I Wazazi kuandamana na watoto wao shule zikifunguliwa

  • | KBC Video
    436 views

    Wazazi watahitajika kuandamana na watoto wao shule zitakapofunguliwa kwa muhula ujao ili kuwasajili kwa halmashauri ya afya ya jamii. Rais William Ruto aliyeongoza sherehe ya 61 ya Jamhuri jijini Nairobi alisema kwamba wakenya zaidi kufikia sasa wamesajliwa kwa mfumo wa Taifa Care huku idadi hiyo ikipita watu milioni-16. Wakati wa sherehe hiyo, waliozungumza walisisitiza umuhimu wa kudumisha umoja wa taifa hili huku rais akipongezwa kwa kuzungumza na viongozi wengine, akiwemo rais wa zamani Uhuru Kenyatta.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive