Sherehe za krismasi zakumbwa na hali ngumu ya maisha

  • | K24 Video
    107 views

    Ni msimu wa sherehe za krismasi, lakini kwa wakenya wengi, furaha ya sikukuu hii inazidi kuzimwa na hali ngumu ya maisha. japo baadhi ya wakenya wamefurahia sherehe za mwaka huu wengine wako njia panda. Baadhi ya wakenya kaunti ya kiambu na nairobi na kutuandalia taarifa ifuatayo.