Sherehe za kutawazwa kwa Mfalme Charles

  • | BBC Swahili
    1,714 views
    Sherehe za kutawazwa kwa Mfalme Charles zitafanyika Jumamosi tarehe 6 Mei katika kanisa la kihistoria la Westminster Abbey la jijini London – kanisa ambalo matukio mengi ya kifalme hufanyika. Wakati wa sherehe, Mfalme atavikwa taji pamoja na mkewe, Malkia Camilla. Hapa kuna kila kitu unachohitaji kujua kuhusu tukio hili kubwa nchini Uingereza. Ambwene Mwamwaja anaelezea #bbcswahili #uingereza #kingcharles