Sheria za kimataifa za kulinda hospitali zinahusika vipi Gaza

  • | BBC Swahili
    1,883 views
    Hospitali yoyote katika mzozo au vita hulindwa na sheria za vita - na haifai kulengwa katika mashambulizi. Lakini katika hali fulani, hospitali zinaweza kupoteza hadhi ya kulindwa. Israel inasema hii ndio imetokea katika hospitali kubwa ya Gaza, Al-Shifa. Israel inasema hospitali hiyo inalinda silaha za kivita za Hamas - madai ambayo yamekanushwa na Hamas pamoja na hospitali hiyo. Kwa hiyo sheria za kimataifa zinahusika vipi katika kesi kama hizi? Elizabeth Kazibure na maelezo zaidi. #bbcswahili #hamas #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw