Shindano la baiskeli Afrika | Uganda na Afrika Kusini zatamba siku ya kwanza

  • | Citizen TV
    266 views

    Mashindano ya baiskeli Barani Afrika mwaka 2024 yameanza hii leo mjini Eldoret ambapo raia wa Uganda Charles Kagimu alitetea taji lake.