Shindano la umahiri wa tahajia laandaliwa UON, lilihusisha walio na wasio na uwezo wa kusikia

  • | KBC Video
    4 views

    Chuo kikuu cha Nairobi kiliandaa shindano la kipekee kwa jina ' SLIC', la umahiri wa tahajia almaarufu Spelling, kusherehekea lugha ya ishara hapa nchini, kupitia kauli mbiu ya kuunganisha ulimwengu, raia wake na jamii kupitia lugha ya ishara. SLIC inatafsiriwa kuwa lugha ya ishara shuleni, huku shindano hilo likiwaleta pamoja watoto wanaoweza na wasio na uwezo wa kusikia kutoka shule mbalimbali za msingi kote nchini. Yusuf Farah ana maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive