Shirika la Ananda Marga latoa msaada kwa jamii

  • | KBC Video
    5 views

    Zaidi ya watu elfu-3 humu nchini wamenufaika na mpango wa kila wiki wa usambazaji chakula kwa hisani ya shirika moja lisilo la serikali. Akiongea wakati wa shughuli ya usambazaji wa chakula katika mtaa wa Mountain jijini Nairobi mwenyekiti wa shirika la Ananda Marga , Dinesh Kumar, alisema kuwa mpango huo ulioanzishwa mwaka 2020 pia unajishughulisha na mradi wa lishe shuleni ambao kufikia sasa umewanufaisha takriban wanafunzi milioni moja .Shirika hilo linalenga kuwasaidia zaidi ya watu elfu mia mbili kila mwezi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive