- 19 views
Shirika la kilimo na chakula duniani-FAO limezindua mradi wa upanzi wa miti ili kunusuru na kurejesha hadhi ya misitu katika bonde la Kerio. Shirika la FAO litashirikiana na kaunti za Baringo na Elgeyo Marakwet katika miaka minne ijayo kuwapa wakazi uwezo na kusaidia makundi yanayojihusisha kwenye kilimo kufanikisha juhudi za upanzi wa miti katika kaunti hizo. Mwakilishi wa shirika la FAO humu nchini, Philip Kisoyan amesema washirika hao watapokea usaidizi wa kifedha na kiufundi kuendeleza shughuli kuhifadhi bio-anuwai.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Shirika la FAO laongoza upanzi wa miti Kerio
- 31 Jan 2025 - Gloria Sakwa, a farmer from Bungoma, is overjoyed after winning Ksh 500,000 in the Shabiki Vuka Njaanuary promotion.
- 31 Jan 2025 - The court has issued an arrest warrant for Alfred Mbugua Gicheha for absconding court sessions for 14 months.
- 31 Jan 2025 - The marathoner represented Kenya in many races but is now leaving in poverty.
- 31 Jan 2025 - It has been eight months since four-month-old baby *Blessing was defiled by an 11-year-old boy. 8 months ago The Standard told baby *Blessings story
- 31 Jan 2025 - Loyalty, performance and desire to create a new alliance ahead of 2027 polls are at the heart of the planned reshuffle.
- 31 Jan 2025 - Russian forces are starting to encircle the strategically important eastern Ukrainian city of Pokrovsk after capturing a string of villages to its south, and Ukraine has halted production at its only coking coal mine nearby.
- 31 Jan 2025 - The High Court has declared the nomination of Zablon Muruka Mokua as a judge at the East African Court of Justice unconstitutional.
- 31 Jan 2025 - The fate of two of the four missing Mlolongo men remains unknown.
- 31 Jan 2025 - Lindah Kiome was elected as the Vice Chairperson.
- 31 Jan 2025 - Police were called into the meeting, held to vet Ghana's new ministerial appointees