Shirika la IMLU laitaka serikali kukomesha utekaji nyara na kukamatwa kimabavu

  • | K24 Video
    13 views

    Shirika la IMLU ,sasa linaitaka serikali kukomesha utekaji nyara na kukamatwa kimabavu kwa wanaoikosoa serikali. Shirika hilo linasema kuwa inatamausha sana kuwa bado mamia ya waandamanaji hawajulikani waliko, wakimtaka inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja kuhakikisha kuwa maafisa wa polisi waliohusika katika ukatili wanachukuliwa hatua.