Shirika la kijamii la kimisitu lawahakikishia wanachama wake kuwa hakuna pesa itakayopotea

  • | K24 Video
    83 views

    Katika sherehe za kuadhimisha miaka 40 na mkutano wa kufunga mwaka, shirika la kijamii la kimisitu limewahakikishia wanachama wake kuwa hakuna pesa itakayopotea. Kauli ambayo inajiri baada ya muungano wa mashirika ya kijamii KUSCO kudaiwa kupoteza pesa takriban bilioni 12 za mashirika ya kijamii mbalimbali.