Shirika la Scope Kenya laanzisha miradi ya kilimo shuleni

  • | Citizen TV
    255 views

    Shirika lisilo la serikali la SCOPE Kenya kwa ushirikiano na shule mbalimbali za umma limeanzisha mradi wa kukuza chakula na miti shuleni. Hatua hii inatarajiwa kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula shuleni sawa na kusaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.