Shirika la SHOFCO ya wasilisha bunge la taifa ombi mpango wa unyunyizaji wa maji katika maeneo kavu

  • | NTV Video
    12 views

    Shirika la Shining Hope for Community (SHOFCO) limewasilisha ombi kwa bunge la kitaifa kutaka kupitishwa kwa sheria zitakazowezesha hazina ya ushuru wa utunzaji wa barabara kusaidia kuendeleza mpango wa unyunyuziaji maji katika maeneo kavu nchini kenya. Katika kikao kilichoongozwa na kamati ya bunge kiongozi wa utetezi wa shofco, boniface gatobu, amesisitiza kuwa kupitishwa kwa pendekezo hili kutakuza sekta ya kilimo na kushughulikia matatizo ya umaskini, njaa, na ukosefu wa ajira.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya