Shirika lisilo la kiserikali laongoza shughuli ya utoaji damu Nairobi

  • | KBC Video
    35 views

    Shirika lisilo la kiserikali katika Kaunti ya Nairobi, linaendesha shughuli ya utaoji damu kupitia kampeni inayopania kuokoa maisha ya wagonjwa wengi wanaohitaji damu. Siku ya Jumapili, shirika hilo, We Love You Foundation, liliandaa shughuli ya kutoa damu katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive