Shirikisho la Rafting yazinduliwa kambi ya Sagana Rapids kaunti ya Murang’a

  • | NTV Video
    30 views

    Shirikisho la kwanza katika michezo ya maji limezinduliwa nchini Kenya. Hili pia ni shirikisho la kwanza kuwa nje ya Nairobi, mji mkuu wa taifa hilI. Shirikisho hilo, Kenya rafting federation lilizinduliwa katika kambi ya Sagana Rapids kaunti ya Murang’a litaendesha shughuli zote za water rafting humu nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya