Shirikisho la wachapishaji laitaka serikali iondoe ushuru wa VAT uliowekwa kwa vitabuu

  • | K24 Video
    8 views

    Shirikisho la wachapishaji nchini limeitaka serikali iondoe ushuru wa thamani maarufu VAT wa asilimia 16 uliowekwa kwa vitabu kama njia moja ya kuimarisha uchumi wa elimu nchini. Wakiongozwa na mwenyekiti kiarie kamau wameeleza nyongeza ya ushuru kwa vitabu inasababisha ughali wa vitabu na kuwa mzigo mkubwa kwa wakenya. Hata hivyo wamesema sasa wako tayari kuchapisha vitabu vya gredi ya 9 baada ya uhakiki na kuidhinishwa na kicd ili kuendana na mtaala mpya wa CBC.