Shofco limeanzisha juhudi za kuwa na umoja kwenye jamii baada ya kukutana na wazee

  • | NTV Video
    43 views

    Mwazilishi wa shirika la kijamii la Shining Hope for Community (Shofco) Kennedy Odede, ameanzisha juhudi za kuwa na umoja kwenye jamii mbalimbali nchini baada ya kuwaleta baraza la wazee kutoka jamii ya Mijikenda na Kikuyu katika dhifa ya chakula jijini Nairobi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya