Shughuli za kupiga kura katika Bunge la Seneti zaahirishwa

  • | Citizen TV
    159 views

    Shughuli ya Upigaji kura kwa mswada wa kudhibiti mchezo wa Kamari wa mwaka wa 2023 katika Bunge la Seneti Uliahirishwa kufuatia kujumuishwa kwa marekebisho kwenye vipengee mbalimbali vikiwemo, uwekaji wa shilingi milioni 200 kutoka milioni 20, kwa kampuni za michezo ya Kamari nchini. Aidha, Mswada huo wa kudhibiti mchezo wa Kamari unalenga kubuniwa kwa mamlaka ya kusimamia michezo hiyo miongoni mwa mengine.