Shughuli za ubomozi kaunti ya Busia kuendelea kama ilivyopangwa

  • | West TV
    26 views
    Wizari wa ardhi na nyumba katika kaunti ya Busia msimamo wake wa ubomozi katika soko la Bumala eneo bunge la Butula licha ya lalama kutoka kwa wafanyabiashara wa soko hilo. Waziri wa ardhi na nyumba katika kaunti ya Busia Peter Odima amesema msimamo huo hautalegezwa na akiwataka wafanyibiashara hao kubomoa vibanda vyao ambavyo havijabomolewa.