Shughuli za usafiri na biashara zimetatizwa Migori

  • | Citizen TV
    447 views

    Shughuli za usafiri na biashara zimetatizwa leo katika miji ya Migori na Awendo baada ya wahudumu wa bodaboda kuandamana wakipinga unyanyasaji wanaodai unatekelezwa na maafisa wa serikali ya Kaunti