Shule ambazo mabweni yalifungwa zimechanganyikiwa

  • | Citizen TV
    690 views

    Wizara ya elimu imesisitiza kuwa shule 348 ambao ziliagizwa kufunga sehemu ya mabweni bado hazijapewa idhini ya kuendelea kuwapokea wanafunzi wa bweni. Haya yanajiri wakati ambapo baadhi ya shule hizo tayari zimewapokea wanafunzi katika mabweni baada ya kupata barua kutoka kwa maafisa wa elimu wa kaunti zao