Shule mbalimbali zaendelea kusherekea matokeo ya KCSE

  • | Citizen TV
    928 views

    Kwa Siku Ya Pili Sherehe Za Matokeo Mema Ya Mtihani Wa Kcse 2024 Zimeendelea Katika Shule Tofauti Nchini. Walimu, Wazazi Na Wanafunzi Wakijumuika Kwa Ngoma, Shangwe Na Nderemo. Ben Kirui Anaangazia Baadhi Ya Shule Hizo.