Shule ya Kakamega yapokea vifaa vya kupima viwango vya hewa safi

  • | KBC Video
    9 views

    Serikali ya kaunti ya Kakamega imepokea msaada wa shilingi milioni 8.5 pamoja na baiskeli 250 kutoka kwa shirika lisilo la serikali kwa madhumuni ya kupiga jeki juhudi za kuhifadhi mazingira kutokana na gesi ya kaboni. Akikabidhi zaidi ya baiskeli 250 kwa waziri wa mazingira wa kaunti ya Kakamega wahisani hao walisema kuwa mpango huo unalenga kuimarisha uchukuzi wa wahifadhi mazingira. Maafisa wa kaunti walisifia hatua hiyo wakisema kuwa mpango huo utasaidia kulainisha miradi ya uhifadhi mazingira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive