Shule ya msingi ya Nyagakairu ina wanafunzi 3 na walimu 7

  • | KBC Video
    40 views

    Shule ya Msingi ya Nyagakairu katika wadi ya Mugwe, eneo bunge la Chuka Igambang'ombe, kaunti ya Tharaka Nithi huenda ikafungwa kufuatia uhaba wa wanafunzi. Shule zilipofunguliwa kwa muhula wa kwanza wa kalenda ya masomo ya mwaka 2025, wanafunzi hawakurudi hadi hivi majuzi ambapo ni 3 pekee walioripoti shuleni humo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News