Shule ya wasichana ya AIC Litein kunufaika na mradi wa NIE

  • | NTV Video
    84 views

    Mbali na shule ya upili ya wasichana ya AIC Litein, kaunti ya Kericho itanufaika kutokana na mradi wa NIE 'yaani Newspapers In Education' ikiwa ni mradi wa shirika la Nation Media Group, vile vile, watanufaika kupata taulo za hedhi elfu moja kila mwezi katika kipindi wa mwaka mmoja kutoka kwa mfadhili aliyesajili shule hiyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya