Shule zenye chini ya watahiniwa 30 hazijaratibiwa kama vituo

  • | Citizen TV
    204 views

    Maagizo kutoka kwa wizara ya elimu kuhusu shule zilizo na watahiniwa chini ya 30 wa mtihani wa kitaifa wa KCSE na KPSEA yameendelea kuibua hisia kutoka kwa washikadau wa elimu katika kaunti ya Migori