"Sijui lolote kuhusu wapiganaji 4000 kutoka Rwanda ndani ya M23?

  • | BBC Swahili
    3,078 views
    Tangu mwanzoni mwa mwaka huu, kundi la waasi limekuwa likisonga mbele kupitia mashariki mwa DRC, na kutwaa udhibiti wa miji muhimu kama Goma na Bukavu. Mwandishi wa BBC Orla Guerin alimuuliza Corneille Nangaa, mkuu wa muungano huo unaojumuisha M23, kuhusu ushahidi wa kuungwa mkono na Rwanda na ukiukaji wa haki za binadamu. #bbcsawhili #DRC #M23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw